Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili kujijengea taswira njema katika jamii?

Wageni karibuni Tanzania chini ya Mzalendo Magufuli.
 
Shauri yao Magufuli kiboko yao anakubalika internationally.
 
Amka ndotoni Mkuu Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta Ccm ushindi ni 98%.
 
Rais Magufuli analeta maendeleo kila kona ya Nchi.
 
Tumpongeze Rais Magufuli kwa kutupeleka uchumi wa kati.
 
Ulichofanya ni sahihi. Kwa hali waliyonayo, upate tatizo au la, hao kamwe hawatakufaa kwa lolote, hata ungewaachia kitu kidogo. Mbwia madawa, mlevi, kipaumbele chake ni kilevi chake, sio shida yake binafsi wala ya mtu baki atakayoijali.
Ninapotembelea watu wa aina hiyo hasa nyumbani kwao, nitawaachia kidogo wazazi wao, ila wao simpi hata thumni.
 
Magufuli hawezi kuuza Nchi ni Mzalendo haswa Usimfananishe na wale waliotumwa na Wazungu.
 
Kitendo cha kuwaambia siwapi kiliwauma, ungezuga tu "mdau nina nauli tu, siku ingine " Ungeachana nao kirafiki ndiko kuishi vizuri na watu.
Safi sana mkuu. Nilikuwa "black & white" mno. Huu ni ushauri mzuri pia.
 
Mkuu mimi nadhani kama kweli walikuwa ni rafiki zako mlioishi nao kwa shida na raha ilipaswa ufanye jambo kubwa la kuwasaidia kuwatoa hapo walipo!!

Jambo la kwanza ilipaswa uwanunulie msosi wa maana wakung'ute!!,yaani mkuu ungewapigisha msosi wa maana sidhani kama wangekusumbua uwaachie hela!

Jambo la pili ilipaswa ukae nao uone ni nini kinawasibu hao rafiki zako,RAFIKI NI YULE AKUFAAE WAKATI WA DHIKI/MATATIZO.


FANYA KITU KWA AJILI YA RAFIKI ZAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…