Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili kujijengea taswira njema katika jamii?

Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea sisi wanyonge.
 
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli.
 
Mwana una bore sana

How come utimbe maskani apeche alolo?

Day nyingine ukitimba tunakuweka bond...kwa dula mbabe!

Achaga mambo ya kiwaki...ishi vizuri na wana
Unazingua sasa mzee baba
 
Saidia kila mtu, Hata shetani msaidie huezi jua siku ya kiama ka utaenda peponi au motoni, vipi usimsaidie huku harafu kiama uende kwake motoni si atakutosa tu na yeye hatokupa maji ya kunywa
 
Kwa hali ya kawaida kama ndio ulienda huku umevaa vizuri yaani umepiga pamba,itachukuliwa kama ulienda kujionyesha au kuwaringishia mafanikio yako wakati wao wamechoka mbona hata maandiko yanasema ukienda kwa vipofu na ww jifanye chongo?Ila hao wana wanakupenda sana mitaa yetu wangekupukutisha kila kitu kituoni ungeenda na boxer.
 
Kwa hali ya kawaida kama ndio ulienda huku umevaa vizuri yaani umepiga pamba,itachukuliwa kama ulienda kujionyesha au kuwaringishia mafanikio yako wakati wao wamechoka mbona hata maandiko yanasema ukienda kwa vipofu na ww jifanye chongo?
Sikwenda kwa lengo la kutaka kuwaringishia watu bali kule ni nyumbani kwetu kwa zamani...
 
We jamaa bana. Ndo umekuja kutuanika huku JF
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…