Nini maana ya 'kuoana'

Nini maana ya 'kuoana'

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Wakuu naomba maana ya maneno haya!

1.Kuoa
2.kuolewa
3.kuoana


Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
 
Kuoana ni kuelewana

Kuoa ni kutafuta inayoendana

Kuolewa ni kuchukuliwa na endanifu

Lakini kwa tafsiri ya kidunia.
Kuoana ni kukubaliana kuishi na Adui nyumba moja.
Duh.....vipi kuhusu kuolewana??.?
 
1.Kuoa- inafanywa na mwanaume au mwanamke kwa baadhi ya tamaduni

2.kuolewa- binti anakua anaolewa na mwanaume kwenda kuanzisha familia yao

3.kuoana- inatokana na namba 2 kwa maridhiano ya pande zote
Hivi mwamamke anaweza kuoa kumbe??
 
1. Mwanaume
2. Mwanamke
3. Mwanaume na mwanamke (japo siku hizi hata jinsia moja wanawowana)
Sijakuelewa mkuu
1.mwanaume anaoa nani????
2.mwanamke anaolewa na nani??
3.hapo wanakuwa wameoana au wameolewana ???
 
Kwa mwanaume ukioa utafurahia ndoa na itadumu ila ukioana yaani mkioana kwa maana kwamba mwanamke naye amekuoa my bro ndoa yako ikifika miezi sita kaague.
 
Back
Top Bottom