Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Wakuu naomba maana ya maneno haya!
1.Kuoa
2.kuolewa
3.kuoana
Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
HahaUmesahau na hili kuolea.
Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANAHakuna kitu kuoana bali kuna "kufunga ndoa" au kufunga pingu za maisha.
Duh.....vipi kuhusu kuolewana??.?Kuoana ni kuelewana
Kuoa ni kutafuta inayoendana
Kuolewa ni kuchukuliwa na endanifu
Lakini kwa tafsiri ya kidunia.
Kuoana ni kukubaliana kuishi na Adui nyumba moja.
Hivi mwamamke anaweza kuoa kumbe??1.Kuoa- inafanywa na mwanaume au mwanamke kwa baadhi ya tamaduni
2.kuolewa- binti anakua anaolewa na mwanaume kwenda kuanzisha familia yao
3.kuoana- inatokana na namba 2 kwa maridhiano ya pande zote
Duh.....vipi kuhusu kuolewana??.?
1. MwanaumeWakuu naomba maana ya maneno haya!
1.Kuoa
2.kuolewa
3.kuoana
Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
Baadhi ya makabilaHivi mwamamke anaweza kuoa kumbe??
Kenya wapoBaadhi ya makabila
Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA
Nasikiaga watu wengi wanasemaga hivo WAMEOANA,ACHA WAOANE,TUTAOANA
Kama kuolewana haipo basi Mi naona kuoana imekaa kwa ajili ya mashoga hivi..wale ndo wanaoanaHiyo haipo mzee babaππππ
Sijakuelewa mkuu1. Mwanaume
2. Mwanamke
3. Mwanaume na mwanamke (japo siku hizi hata jinsia moja wanawowana)
Kama wapi mkuuBaadhi ya makabila
Kwahiyo kuoa ,kuoana au kuolewa haipo katika kiswahili?Hayo ni makosa, lugha sahihi ni kufunga ndoa yaani tutafunga ndoa au watafunga ndoa, wamefunga ndoa nk.