Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
-
- #21
Naanza kukupata..kumbe inawezekana mwanaume akaoa na yy akaolewa piaKwa mwanaume ukioa utafurahia ndoa na itadumu ila ukioana yaani mkioana kwa maana kwamba mwanamke naye amekuoa my bro ndoa yako ikifika miezi sita kaague.
Yeah inakuwa kama walivyofanyiwa wenzio wa UTO kule Morocco.Naanza kukupata..kumbe inawezekana mwanaume akaoa na yy akaolewa pia
Kama kuolewana haipo basi Mi naona kuoana imekaa kwa ajili ya mashoga hivi..wale ndo wanaoana
Kwahiyo kuoa ,kuoana au kuolewa haipo katika kiswahili?
Kuoa --- Mume ameoa..Wakuu naomba maana ya maneno haya!
1.Kuoa
2.kuolewa
3.kuoana
Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
Kuoa --- Mume ameoa..
Kuolewa-- mke ameolewa na mume.
Kuoana-- wote kwa pamoja wamefunga ndoa/ wameoana..
Hahaha we jamaa bhanaKwa ujumla, ni kitenda cha kuonana kwa majaliwa na kurudi nyumbani kutembea...
DuhKwa ujumla, ni kitenda cha kuonana kwa majaliwa na kurudi nyumbani kutembea...