Kushuka thamani kwa hela ni ile hali ya pesa kutumika nyingi kuliko awali kununulia bidhaa ya kawaida. Mfano mwaka jana mwanzoni tulinunua gunia 1 la mahindi kwa tsh 45,000 sasa hivi gunia hilo hilo tunanunua kwa tsh 120,000 hapa si kwamba mahindi yamepanda bei ila ni pesa haina thamani.
Unapotumia hela nyingi kwenye jambo dogo basi jua pesa haina thamani.
Ukitumia hela kidogo kununua mzigo mkubwa jua pesa iko na thamani