Nini maana ya Kusimamia ukucha?

Katumia kucha kusimama,kama ballerina vile...
 
Unahakikisha unafumua mshono kama anao, ama laa hakikisha unagusa kizazi kama si kukisukuma kabisaaaa
 
kusimamia ukucha ni kufanya kitu katika hali ya juu kabisa au kitu kilicho katika ubora/uzuri wa juu Mf. rangi ya hii gari imesimamia ukucha (ubora/uzuri), Lile goli la Kagere limesimamia ukucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…