MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jul 31, 2012 #1 Ninapokutana na sentensi kama hili "Katika sherehe za kumsimika ofisini", huipita mbiombio kiaina nikidhani ni tusi. Wewe unalionaje?
Ninapokutana na sentensi kama hili "Katika sherehe za kumsimika ofisini", huipita mbiombio kiaina nikidhani ni tusi. Wewe unalionaje?
N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,307 Jul 31, 2012 #2 Kusimika ina maana nyingi. Neno moja maana nyingi. Mbali na viungo vya uzazi,kike/kiume kusimama Kusimika inatumika sana katika msamiati wa kanisa katika kuwateua na kuwakabidhi vyeo/ majukumu ya kiuongozi watumishi wa kanisha. Maana nyenginezo ni: Dictionary - Definition of kusimika. .. sow (kusimika), set up (kusimika), plant (kusimika), appoint (kusimika). Wigo na matumizi ya maneno katika lugha yananyambulika/yanakua na wakati. Kiswahili cha leo,sio cha jana, mkuu. Kusimika pia ni jina la mtu. link http://www.facebook.com/lumbani.kusimika au Kusimika Chatterjee
Kusimika ina maana nyingi. Neno moja maana nyingi. Mbali na viungo vya uzazi,kike/kiume kusimama Kusimika inatumika sana katika msamiati wa kanisa katika kuwateua na kuwakabidhi vyeo/ majukumu ya kiuongozi watumishi wa kanisha. Maana nyenginezo ni: Dictionary - Definition of kusimika. .. sow (kusimika), set up (kusimika), plant (kusimika), appoint (kusimika). Wigo na matumizi ya maneno katika lugha yananyambulika/yanakua na wakati. Kiswahili cha leo,sio cha jana, mkuu. Kusimika pia ni jina la mtu. link http://www.facebook.com/lumbani.kusimika au Kusimika Chatterjee
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jul 31, 2012 Thread starter #3 Asante sana Mkuu Nonda kwa maelezo na ufafanuzi. Ni kweli Kiswahili kinakua na wengine kinatuacha njiani. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asante sana Mkuu Nonda kwa maelezo na ufafanuzi. Ni kweli Kiswahili kinakua na wengine kinatuacha njiani.
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,674 Jul 31, 2012 #4 kwa upande wa wakwetu pba kusimika ni kusimama kwa uume (kudisa)
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,776 Aug 2, 2012 #5 . Mkuu MAMMAMIA ... kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI Neno Simika lina maana mbili: 1. simika = erect, set up. maneno mengine simikia; simikika; simikwa. 2. simika = install in office, appoint. maneno mengine simikia; simikana; simikika; simikwa. .
. Mkuu MAMMAMIA ... kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI Neno Simika lina maana mbili: 1. simika = erect, set up. maneno mengine simikia; simikika; simikwa. 2. simika = install in office, appoint. maneno mengine simikia; simikana; simikika; simikwa. .
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Aug 2, 2012 #6 Kundinda pia sio matusi, BBC na radio za Kenya huwa wanatamka live, mfano,,Madocta waidindia serikali. Tanzania kwasababu akili zetu zipo masaburini, huwa haiwezekani kutamkwa kwenye vyombo vya habari kihivyo.
Kundinda pia sio matusi, BBC na radio za Kenya huwa wanatamka live, mfano,,Madocta waidindia serikali. Tanzania kwasababu akili zetu zipo masaburini, huwa haiwezekani kutamkwa kwenye vyombo vya habari kihivyo.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Aug 2, 2012 #7 Kusimika ilitokana na ile kisu ya kimasai (Simi) ambapo unapuichoma ardhini (kusimisha) unakuwa umeweka mamlaka juu ya kitu fulani
Kusimika ilitokana na ile kisu ya kimasai (Simi) ambapo unapuichoma ardhini (kusimisha) unakuwa umeweka mamlaka juu ya kitu fulani