Nini maana ya kutamalaki

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Napenda kujua maana ya kutamalaki! kwa kingereza nini!
 
kutamalaki-ni utawala uliopo kila mahali,mfano:Mungu ametamalaki-maana anaongoza kila mahali.nimejaribu kwa upeo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…