wakuu poleni na majukumu,
kumekuwa na kauli za watu mbalimbali kuwa, flani anatumia nyota ya flani, mara huyu a
nasafiria nyota ya flani, je nini maana halisi ya hili neno? na je mtu atajuaje kuwa nyota yake inatumiwa na mwingine? au ni uzushi tu wa mtaani?