Nini maana ya 'Kwa Mpalange'

Ukiwa unatoka Kilungule mwisho unavuka mto Mzinga kisha unakutana na kituo cha kwa MPALANGE
 
Njooo riverside ubungo mida ya saa 4 usiku ndo utajua vizuri hii misemo inamaana yake. Wanajua unataka mbele au nyuma na dau lako . ndio hiyo kwio naskia pale mi nikajua ni kawaida ni nyimbo tu. Kumbe ni ishara mwanawane
Sawa mkuu nitakuja one day kipande hicho nijue nn maana yake
 
Acha ujinga

Kwa umri wako ukiambiwa Sodoma usiigize kuwa hujui.

Kama umeshindwa kuelewa hizo hoja basi wewe huna umri qa kuingia humu[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] mkuu tufahamishe bwana
 
Binafsi nimeanza kusikia hili neno maeneo ambayo huwa napita jioni kucheza pool table kabla ya kwenda home, so nilijaribu kuuliza maana yake nini ndo kufafanuliwa kwamba ukisikia bint anasema anatoa kwa Mpalange maana yake ni anafanya mapenzi kinyume na maumbile
 
Mapen
 
Kwa Mpalange ni matakoni.
Any question?
Huku Tandika kuelekea buza kuna sehemu maarufu sana zaidi ya kwa Mpalange. Panaitwa mnduku buku. Hapo noma, kwa Mpalange cha mtoto
Kaka nierekez ap niend kama natokeatazara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…