cryptonaertz
New Member
- Mar 11, 2018
- 3
- 0
Ni decentralized coin ,ambapo haina institution,authority,au organization ambayo ina handle coin hii ni kama bitcoin lkn litecoin is better kuliko kutokana na sababu zifuatazo
1.blocksize kubwa kuliko Btc
2.cheap kwa kuwekeza
3.better support from chaer Lee
Nakadhalika
Take look
1.blocksize kubwa kuliko Btc
2.cheap kwa kuwekeza
3.better support from chaer Lee
Nakadhalika
Take look