Nini maana ya "MAANA" ?

Nini maana ya "MAANA" ?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Swali liko wazi,mwenye kujua maana ya maana atueleze.
 
MAANA ni chakula walichokula wana waisrael walipokuwa jangwani kuelekea nchi ya ahadi.
Naona hujaelewa nilicho uliza. Namaanisha huwa tunaulizana sana,nini maana Sayansi au nini maana ya Lugha. Sasa swali langu ni je nini maana ya hili tamko "Maana".
 
Naona hujaelewa nilicho uliza. Namaanisha huwa tunaulizana sana,nini maana Sayansi au nini maana ya Lugha. Sasa swali langu ni je nini maana ya hili tamko "Maana".
yaani ni kutujazia saver tu hapa
hujui meaning ya maana sasa mtoto wa mwaka mmoja kajuaje kuongea
 
Naona hujaelewa nilicho uliza. Namaanisha huwa tunaulizana sana,nini maana Sayansi au nini maana ya Lugha. Sasa swali langu ni je nini maana ya hili tamko "Maana".
Hii ndiyo ingetakiwa iwe maada..! Nami nimekujibu vile ili uleweke..
 
Maana
1. nini maana ya alama hii
Unatakiwa ueleze alama husika inaeleza au kuwakilisha nini.
2. Una maana gani?
Ama kwa kutenda jambo au kusema maneno, unatakiwa ueleze ni nini kusudio la kufanya au kusema ulichofanya/sema.
Kwa ujumla maana inakutaka ueleze, ung'amue au kutoa ufafanuzi.
 
Hii ndiyo ingetakiwa iwe maada..! Nami nimekujibu vile ili uleweke..
Poa nimekuelewa kiongozi. Ila kuna watu walikuwa weshanielewa kiasi ambacho nilikuwa sina haja ya kuleta ufafanuzi wa ziada,kwani uwazi ni sawa sawa na kutokuwa na haja ya kuelezea maji nini kutokana na umaarufu wake yake japokuwa kwa undani zaidi tunaweza kuelezea maji ni nini.

Tuko pamoja kaka.
 
Back
Top Bottom