Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
[emoji3][emoji3]Sio rahisiHayana maana yoyote ile mkuu!
Kitorondo ni jina la aina ya ndege katika lugha za jamii ya makabila ya wazaramo na wakwere. Ambapo watu wa jamii hizo wamekuwa wakimtaja ndege huyo na wengineo kwenye baadhi ya nyimbo za ngoma zao za asili nahisi diamond alitoa idea huko kwa kuwa hata wimbo wenyewe una ladha ya asili ya kabila hizo.Habarini za mchana wana lugha.
Nimekuwa nikisikiliza mara kadhaa nyimbo za wasanii wa hapa bongo na nyimbo zao zikiwa na maneno tata au majina ya nyimbo zenyewe kuwa na ugumu kung'amua maana, kwa mfano nini maana ya maneno haya hapa:
1. Kitorondo (jina la wimbo wa Diamond Platnumz)
2. Kwangwaru (jina la wimbo wa Harmonize na Diamond Platnumz)
Basi kwa yeyote mwenye kujua maana ya maneno hayo naomba maana zake na kama kuna maneno pia unayasikia kwenye nyimbo nyingine huyaelewi naomba uzi huu uhusike kuuliza na kujuzana maana ili tuijue lugha yetu vizuri.
Ahsante.
Ok jina la wimbo (kitorondo) linareflect vipi idea nzima ya wimbo huo, huyo ndege ana sifa gani?Kitorondo ni jina la aina ya ndege katika lugha za jamii ya makabila ya wazaramo na wakwere. Ambapo watu wa jamii hizo wamekuwa wakimtaja ndege huyo na wengineo kwenye baadhi ya nyimbo za ngoma zao za asili nahisi diamond alitoa idea huko kwa kuwa hata wimbo wenyewe una ladha ya asili ya kabila hizo.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ongezea na haya ngololo na bigilibigili bayoyo