Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?

Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?

Youda Fema

Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
70
Reaction score
63
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.
 
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.

Kitakacho happen Kwa Mkapa ndo hicho Wamekifupisha kwa Maneno 'Ubaya Ubwela'.... stay tuned.!

Kwaiyo Usiombe huo msemo ukukute..!
 
Maana yake Ubaya Juu ya Ubaya.
Ni maneno ya kizaramo alikua anatumia dula mbabe akisema Ubaya ubwela udugu wamala,Yaan maana yake Ubaya juu ya ubaya undugu umeisha.
Kweli mkuu umenikumbusha Nilikua Najiuliza nilisikia wapi haya maneno awali
 
Haka kamsemo ukitaka kuona kanafanya kazi mtu afungwe halafu umsemee masikion mwake huo msemo .ila watu wa mbugani wana shida
 
huo msemo utakosa umaarufu dk 90+ baada ya saa moja giza likiwa limeingia
 
Back
Top Bottom