Sekretarieti ya Ajira
Member
- Nov 15, 2022
- 25
- 142
Hivi karibuni, ndio yanafanyiwa kaziMDAs and LGAs matokeo yanatoka lini ya written mkuu.
Mfanye ivo, dah kitaa kigumu my last card.Hivi karibuni, ndio yanafanyiwa kazi
Yote uliyoyasema kwa upande wangu naona hayana mashiko na napendekeza utaratibu ubaki kama ulivyo.Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya, ila ninaushauri wa jambo wa hili jambo linaumiza wengi na kupelekea wengine kupata msongo wa mawazo (Depression)
Mtu kasafiri kutoka kwao mpka dodoma...
Anafanya mtihani let say matokeo yanatoka , naomba nichukulie mfano wa matokeo ya leo ya TPDC anapata Mtu anapata 57.50 ...then cutting point ni 58. So actually hapo anakuwa Not selected ....Hivi kuna njia ya kuhakikisha huyo mtu anakuwa hana msongo wa mawazo??? .... Au cutting point 50 mtu anapata 49. Mimi nilikuwa napendekeza jambo .... Hivi kwann msifanye kuwe na best looser ?? Yani unakuta mtu siku kakomaa amepata 64 thn siku hiyo cutting point inakuwa 65.
Nawaambia kuna siku watu watajinyonga either muwekw watu wa council kabla ya paper kuanza mtu awekwe kisaikolojia. Aambiwe tu hata ukipata 77.99 then cutting point ni 80. Unatakiwa ushukuru cz inawezekana nafasi yako bado ila utakuja siku utapata.... Au kuwe na chance ya best looser ...la si ivyo Mnatengeza watu wenye msongi wa mawazo beleive it.
AMIIN AMIIN 🙏Yote uliyoyasema kwa upande wangu naona hayana mashiko na napendekeza utaratibu ubaki kama ulivyo.
Mosi, kama cutting point ni 58 wewe uliepata sijui 57.5 ni umefeli kwasababu wakisema wakuchukue na wewe basi yule aliyepata 57 nae atalalamika kama wewe "yani 0.5 tu wameniacha daah jamaa hawapo fair. ."
Pili, huo mfumo wa best looser pia malalamiko yatakuwa ni hayo hayo tu. Kikubwa tulizike na matokeo
Kwakumalizia kama una afford kufika Dodoma nenda kaza buti piga interview ukiona hujawa selected iwe kwenye written au oral basi jipe imani kuwa wakati wako haujafika.
BUT I WISH ATLEAST BASI KUWE NA STANDARD CUTTING POIT ILI MTU AWEZE KUJI MUTE KISAIKOLOJA....SIO MTU SIKU ANAPATA 65 WAO WANABEBA 66... SIKU KAPATA 66 WAO WANABEBA 67 HAPP NDIO UNAANZA KUSEMA LABDA AMEROGWAYote uliyoyasema kwa upande wangu naona hayana mashiko na napendekeza utaratibu ubaki kama ulivyo.
Mosi, kama cutting point ni 58 wewe uliepata sijui 57.5 ni umefeli kwasababu wakisema wakuchukue na wewe basi yule aliyepata 57 nae atalalamika kama wewe "yani 0.5 tu wameniacha daah jamaa hawapo fair. ."
Pili, huo mfumo wa best looser pia malalamiko yatakuwa ni hayo hayo tu. Kikubwa tulizike na matokeo
Kwakumalizia kama una afford kufika Dodoma nenda kaza buti piga interview ukiona hujawa selected iwe kwenye written au oral basi jipe imani kuwa wakati wako haujafika.
Mkuu umeongea ya moyoni...yana ukweli kbsa haya maneno hawa jamaa watakuja kuua watu aiseeHongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya, ila ninaushauri wa jambo wa hili jambo linaumiza wengi na kupelekea wengine kupata msongo wa mawazo (Depression)
Mtu kasafiri kutoka kwao mpka dodoma...
Anafanya mtihani let say matokeo yanatoka , naomba nichukulie mfano wa matokeo ya leo ya TPDC anapata Mtu anapata 57.50 ...then cutting point ni 58. So actually hapo anakuwa Not selected ....Hivi kuna njia ya kuhakikisha huyo mtu anakuwa hana msongo wa mawazo??? .... Au cutting point 50 mtu anapata 49. Mimi nilikuwa napendekeza jambo .... Hivi kwann msifanye kuwe na best looser ?? Yani unakuta mtu siku kakomaa amepata 64 thn siku hiyo cutting point inakuwa 65.
Nawaambia kuna siku watu watajinyonga either muwekw watu wa council kabla ya paper kuanza mtu awekwe kisaikolojia. Aambiwe tu hata ukipata 77.99 then cutting point ni 80. Unatakiwa ushukuru cz inawezekana nafasi yako bado ila utakuja siku utapata.... Au kuwe na chance ya best looser ...la si ivyo Mnatengeza watu wenye msongi wa mawazo beleive it.
Hapo ni roho mbaya au vigezo vimezingatiwa?Nyie majamaa mna roho mbaya sana jamaa yangu kaingia kwenye oral tano ...Hajapata kazi hata moja .
Wakati watu wanaitwa kazini mara tatu tatu
Suala la cutting point linaumiza sana aisee siku umejtutmua unapata zaid ya 50 wana wanakatia hapo juu yako inaumiza mnoBUT I WISH ATLEAST BASI KUWE NA STANDARD CUTTING POIT ILI MTU AWEZE KUJI MUTE KISAIKOLOJA....SIO MTU SIKU ANAPATA 65 WAO WANABEBA 66... SIKU KAPATA 66 WAO WANABEBA 67 HAPP NDIO UNAANZA KUSEMA LABDA AMEROGWA
Tunaomba mtusaidie ufafanuzi kuhusu waraka huu.Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.
Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Mchakato huu hufanyika kwa uwazi kiasi gani?Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.
Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Mkuu tunaomba ufafanuzi wa status kwenye account zetu baada ya oral maana zinaleta mijadala isiyo na majibuMchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.
Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Kuna mtihani tulifanya Kuna Jambo sikulielewa labda kwa sababu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufanya mitihani yenu.Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili, kuidhinishwa kwa matokeo ya usaili na kupanga waombaji waliofaulu usaili kwa Waajiri.
Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia sheria na taratibu
Hili nalo nenoKuna mtihani tulifanya Kuna Jambo sikulielewa labda kwa sababu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufanya mitihani yenu.
Jambo lenyewe ni hili, ile karatasi ya maswali inakuwa na sehemu ya kuandika namba yako ya PSRS... Baada ya hapo Kuna sehemu ya write your signature here, hii sehemu ya signature niliona Kama haijakaa sawasawa kwa sababu signature mtu anaweza andika jina lake full.
Sasa mtu signature yake ikiwa labda Kisiki Jembe na anayemark ubini wake ni Jembe na anamfahamu Kisiki vizuri, Je atakuwa fair kusahihisha?
Maoni yangu namba inatosha tu, hiyo signature haina haja.