Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman yoyte anae jua maan ya mchambuzi wa maswala ya soccer ebu afafanue maan hizi people zinazojiita wachambuzi sioni kama wanachambua ila ni mashabiki wanaozungumzia mpira
Tolea mfano Mimi hapa jfUCHAMBUZI NI ELIMU YA AWALI KABISA ANAYOFUNDISHWA KOCHA WA MPIRA WA MIGUU.
Mchambuzi wa mpira wa miguu ni mtu anayetoa uchambuzi na maoni kuhusu michezo ya soka, akitoa ufafanuzi wa mbinu, uchezaji wa timu, na matukio mbalimbali ya mpira wa miguu.
NA UCHAMBUZI wa mpira wa miguu ni mchakato wa kina wa kuelezea, kutathmini,
na kuchambua matukio ya mchezo wa soka, mara nyingine kwa kutumia takwimu,
mbinu za uchezaji,
na muktadha wa timu na wachezaji.
Kwa Tanzania tuna wachambuzi nadhani wawili hadi watatu Redioni.
Jemedari, Ambangile labda na Mbwaduke, ila sijajua kama anasoma Coaching.
Nadhani nimekujibu
Jemadari ni tapeli.UCHAMBUZI NI ELIMU YA AWALI KABISA ANAYOFUNDISHWA KOCHA WA MPIRA WA MIGUU.
Mchambuzi wa mpira wa miguu ni mtu anayetoa uchambuzi na maoni kuhusu michezo ya soka, akitoa ufafanuzi wa mbinu, uchezaji wa timu, na matukio mbalimbali ya mpira wa miguu.
NA UCHAMBUZI wa mpira wa miguu ni mchakato wa kina wa kuelezea, kutathmini,
na kuchambua matukio ya mchezo wa soka, mara nyingine kwa kutumia takwimu,
mbinu za uchezaji,
na muktadha wa timu na wachezaji.
Kwa Tanzania tuna wachambuzi nadhani wawili hadi watatu Redioni.
Jemedari, Ambangile labda na Mbwaduke, ila sijajua kama anasoma Coaching.
Nadhani nimekujibu
Wewe kachambue rede ya Gwajiboy.
Kwakuwa nipo kwenye Gani hii Kwa miaka 12 ...acha nikujibu kiufupiJaman yoyte anae jua maan ya mchambuzi wa maswala ya soccer ebu afafanue maan hizi people zinazojiita wachambuzi sioni kama wanachambua ila ni mashabiki wanaozungumzia mpira
Daah ungekuwa Mimi ni Nan....unagenipa salute kabisaWewe kachambue rede ya Gwajiboy.
Hao uliowataja angalau Awana ushamba especially huyo mwadukeUCHAMBUZI NI ELIMU YA AWALI KABISA ANAYOFUNDISHWA KOCHA WA MPIRA WA MIGUU.
Mchambuzi wa mpira wa miguu ni mtu anayetoa uchambuzi na maoni kuhusu michezo ya soka, akitoa ufafanuzi wa mbinu, uchezaji wa timu, na matukio mbalimbali ya mpira wa miguu.
NA UCHAMBUZI wa mpira wa miguu ni mchakato wa kina wa kuelezea, kutathmini,
na kuchambua matukio ya mchezo wa soka, mara nyingine kwa kutumia takwimu,
mbinu za uchezaji,
na muktadha wa timu na wachezaji.
Kwa Tanzania tuna wachambuzi nadhani wawili hadi watatu Redioni.
Jemedari, Ambangile labda na Mbwaduke, ila sijajua kama anasoma Coaching.
Nadhani nimekujibu
Wachambuzi wengi bongo wanachambua kihemukoKwakuwa nipo kwenye Gani hii Kwa miaka 12 ...acha nikujibu kiufupi
Uchambuzi wa soka ni mchakato wa kuchunguza na kuelezea matukio, mbinu, na ufanisi wa timu, wachezaji, na michezo ya soka. Uchambuzi huu unaweza kujumuisha kutathmini mbinu za timu, uwezo wa wachezaji binafsi, takwimu za mechi, na mwenendo wa ligi.
Lengo la uchambuzi wa soka ni kutoa ufahamu na uelewa zaidi juu ya mchezo huo kwa mashabiki, wataalamu wa soka, na wadau wengine. Uchambuzi unaweza kufanywa kupitia vyombo vya habari vya kijamii, televisheni, redio au majukwaa ya mtandaoni.
Nadhani umepata jibu how wachambuzi wa soka we are...
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kdg kumwembe alijiongezaDaah ungekuwa Mimi ni Nan....unagenipa salute kabisa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Una taaluma au ndy kwa sababu ya kufatilia ligi za mipira na maisha ya wachezaji ushajiita mchambuziDaah ungekuwa Mimi ni Nan....unagenipa salute kabisa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app