Nini maana ya mchana tochi usiku magogo?

Nini maana ya mchana tochi usiku magogo?

Ubezea

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
1,232
Reaction score
631
wAkuu umofia kwenu? kuna huu msemo unaosema...mchana tochi usiku magogo? je nini maana yake?
 
Mambo ni magumu kwa madereva ... mchana wakipita Barabarani na magari yao wanakamatwa na Polisi (tochi), ... na wakisema wawekwepe Polisi mchana kwa kutembea usiku pia wanawekewa magogo na Majambazi wanaporwa mali zao.

Kwahiyo msemo huo huo unatumika kwa mtu yeyote kuonyesha kuwa hakuna afadhali katika hali uliokuwa nayo .. hata ukifanya Plan B!

mabasi1.jpg

img-20170803-wa0073-jpg.557422

cc: Ubezea . Linguistics . Magisha .
 
Maana yake.. magari yakitembea mchana kila sehem unakamatwa na trafk wanakupiga toch kama upo speed kubwa.... Na yakitembea usiku wanakutana na majambazi wameweka magogo barabaran ili usimame wakupore.... Ndo maana madereva hawajui wafanye safari zao mchana au usiku
ooh kumbeee
 
Mambo ni magumu kwa madereva ... mchana wakipita Barabarani na magari yao wanakamatwa na Polisi (tochi), ... na wakisema wawekwepe Polisi mchana kwa kutembea usiku pia wanawekewa magogo na Majambazi wanaporwa mali zao.

Kwahiyo msemo huo huo unatumika kwa mtu yeyote kuonyesha kuwa hakuna afadhali katika hali uliokuwa nayo .. hata ukifanya Plan B!

mabasi1.jpg

img-20170803-wa0073-jpg.557422

cc: Ubezea . Linguistics . Magisha .
pamoja mkuu
 
Kuna sehemu bagamoyo inaitwa mku**si Mali hapo madereva wametekwa Sana na kuliwa viboga
 
Barabara ile ya vumbi inayounganisha bagamoyo na mlandizi.
Ila siku hizi hayo mambo hamna
Mkuu ni wapi hapo. Maana naendesha sana gari dogo binafsi usiku njia ya msata. Itabidi niache aisee
 
Back
Top Bottom