Nachojua Mchezaji Kama Mukoko hana sifa ya kua Professional PlayerNaomba kujua maana ya proffessional player .
Sifa zipi zinamfanya mchezaji kua proffessional?
Kuna wachezaji proffessional na asiyekua proffessional kwenye team moja?
Katika lugha ya kiswahili proffessional player tunamwitaje?
Pale yanga na simba nani proffessional na nani sio proffessional?
Sifa ipi inaweza kukufanya usiwe tena proffessional baada ya kua proffessional?
Kwenye team za taifa kuna professionalism?
Kama kwa kigezo cha mkataba wachezaji wote ni proKwenye michezo kuna ridhaa na proffessional,
Navyofahamu mm
Pro.....ni yule mwenye mkataba rasmi na ni ajira yake.
Ridhaa.....ni hakuna mkataba rasmi na mtu anafanya huku akiendelea na mambo mengine mfano ndondo.
Japo kibongo bongo. Wakisema pro,huwa wanamaanisha yule wakigeni.
Ndio wachezaji wote ni pro....Kama kwa kigezo cha mkataba wachezaji wote ni pro