Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 852
- 1,236
Katika pitapita zangu za maisha nimepata kusikia juu ya hili jambo meditation, nimepitia pia videos mbalimbali YouTube za Buddha kuhusu hili jambo, bahati mbaya sana huwa natoka kapa au bilabila bila kuelewa kitu, zaidi huwa naona watu wamekunja miguu kama wanakula jamvini/mkekani.
Pia, nimewahi kupata msikia Dkt Elive Vid wa Miniani akigusia hili suala katika mafundisho yake pale Chomoza TV bila mafanikio ya kumuelewa.
Kwa vile Jamii Forums ni kisima cha maarifa nikaona si vyema kukaa na kitu rohoni bila kujua pengine ni cha muhimu sana, karibuni ndugu zangu wa hapa JF, nipate kuelimika juu ya meditation, natanguliza shukurani!!