Nini Maana ya Methali hii

Nini Maana ya Methali hii

Mchanya

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
997
Reaction score
1,568
"Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona"
Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali
 
Ukiiba iba kweli sio unajibana kwenye kuta za nyumba za watu ukiwanyang'anya watu simu na vipochi
 
hii ni hints kwa wale ambao nguruwe upenuni ni kharam, sasa wakiwa huko gizani wanaambiwa wakiagiza waagize mzigo wa maana....cjui kwanini hawakusema mbuzi aliyenona
 
Ukitaka kuiba mwibie tajiri siyo masikini.
 
Back
Top Bottom