Ukitaka kufanya dhambi, dhuluma au uovu fanya mpaka shetani mwenyewe AKUPIGIE SALUTE !"Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona"
Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali
Kidogo umejitahidiukinuia kufanya jambo lifanye kwa moyo wote
Alimaanisha usichague kitoto bado hakijakomaa hivyo hakitakuwa kitam"Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona"
Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali