Nini maana ya methali "Peke peke za jirani hazinitoi ndani"?

Methali hiyo inashabihiana na ile , "kelele za mlango...."
Peke peke = upekuaji (wazee wanatumia MPEKE/MPEKU - MTU anaependa kudadisi, kupekua pekua n.k )
MWINYI MPEKU (magazeti ya SANI enzi hizo).
 
Methali hiyo inashabihiana na ile , "kelele za mlango...."
Peke peke = upekuaji (wazee wanatumia MPEKE/MPEKU - MTU anaependa kudadisi, kupekua pekua n.k )
MWINYI MPEKU (magazeti ya SANI enzi hizo).
Asante mkuu. Kwa hiyo, je methali yangu inamaanisha inatubidi tusisumbuke na upekuaji wa majirani? Tusifikirie sana umbeya? Au kuna maana nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…