Nini maana ya msemo gari inalengeshwa

Nini maana ya msemo gari inalengeshwa

kwa uelewa wangu inakua inahitaji marekebisho kidogo na inahitaji mtu wa kuinunua airekebishe Kisha aiuze kwa faida(walengaji ndo kazi zao hizo)


Ila Madalali wa bongo akili zao wanazijua wenyewe

Gari la dogo wa kihindi, gari la dada wa kiarabu, gari la baba mchungaji

Yaani vurugu tupu....

Screenshot_20240618-101231~2.jpg
 
Back
Top Bottom