Nini maana ya msemo gari inalengeshwa

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Wadau habari,nakutana sana na huu msemo hata sielewi maana yake.Msaada tafadhali
 
kwa uelewa wangu inakua inahitaji marekebisho kidogo na inahitaji mtu wa kuinunua airekebishe Kisha aiuze kwa faida(walengaji ndo kazi zao hizo)


Ila Madalali wa bongo akili zao wanazijua wenyewe

Gari la dogo wa kihindi, gari la dada wa kiarabu, gari la baba mchungaji

Yaani vurugu tupu....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…