Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wakuu huu msemo wa mtoto kautaka una maana gani? Jana ninerudi zangu home na wenge la kufungwa na yanga kijana wangu mdogo miaka mitano tu.
Yuko bize anaimba mtoto kautaka mtoto kautaka, sasa nikabaki namwangalia yeye yuko bize mtoto kautaka 😀
Kila kona mtoto kautaka huu msemo una maana gani?
Yuko bize anaimba mtoto kautaka mtoto kautaka, sasa nikabaki namwangalia yeye yuko bize mtoto kautaka 😀
Kila kona mtoto kautaka huu msemo una maana gani?