Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 Oct 20, 2024 #1 Wakuu huu msemo wa mtoto kautaka una maana gani? Jana ninerudi zangu home na wenge la kufungwa na yanga kijana wangu mdogo miaka mitano tu. Yuko bize anaimba mtoto kautaka mtoto kautaka, sasa nikabaki namwangalia yeye yuko bize mtoto kautaka π Kila kona mtoto kautaka huu msemo una maana gani?
Wakuu huu msemo wa mtoto kautaka una maana gani? Jana ninerudi zangu home na wenge la kufungwa na yanga kijana wangu mdogo miaka mitano tu. Yuko bize anaimba mtoto kautaka mtoto kautaka, sasa nikabaki namwangalia yeye yuko bize mtoto kautaka π Kila kona mtoto kautaka huu msemo una maana gani?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Oct 20, 2024 #2 Ni wimbo πππ Uyo mtotoooooooooo ππ
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Oct 20, 2024 #3 Maana yake ni mtoto kautaka. π
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Oct 20, 2024 #4 Kama kautaka Anapewa