Nini maana ya msemo "Otimbi na timbiliyoo"

Nini maana ya msemo "Otimbi na timbiliyoo"

bievinii

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
712
Reaction score
736
jamani ee hv hili neno Ni kilugha gn na linamaanisha nini?

"Otimbi na timbiliyoo"
 
Tafsiri isiyo rasmi:
  • Ni-beep nikupigie
  • Niguse uone
  • Nichokoze nikuchanechane na viwembe(nyembe)
It's a mere joke. Usininukuu.😝😝😝😝
 
Wabongo bwana hapa hata likiwekwa la kweli hatuamini
 
sasa ndugu wimbo kaimba daimond unategemea lisiwe tusi kweli?

hata aliyesema uume na uke unaweza ukute ni kweli
 
Back
Top Bottom