Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
umetishaFalsafa hii ina maana kwamba mtu ana njia nyingi/kazi nyingi/ deal nyingi/ sehemu nyingi/ watu wengi/ nafasi nyingi nk za kumwezesha kujikumu kimaisha. Kwahiyo umekosa hapa, au kunyimwa na yule, au kushindwa kule jaribu kutafute kwingine au kivingine utafanikiwa sio kung'ang'ania hapo hapo.