stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Kitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version]
*Isaya 4:1
Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; tuitwe tu kwa jina lako tu; utuondolee aibu yetu.
Twende kazi
"Wanawake saba watamshika mtu mmoja..."
"Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu."
wapiwamesema wanaume weng watakufa vitani nipe mstariKitabu cha Isaya 4:1 haisemi kwamba Mungu anaagiza mwanaume aoe wanawake saba. Aya hiyo ni unabii unaoelezea hali itakayotokea baada ya hukumu na vita vilivyotajwa katika sura iliyotangulia.
Katika Kitabu cha Isaya, nabii anaeleza kuwa wanaume wengi watakufa vitani. Matokeo yake yatakuwa na wanawake wengi kuliko wanaume, ndipo:
Wanawake hao wanasema:
Hii inaonyesha walikuwa tayari hata kujigharamia wenyewe ili tu wapate hadhi ya kuwa na mume katika jamii ya wakati huo. Biblia inaelezea tukio litakalotokea; haiamuru lifanyike. Kuna tofauti kati ya maelezo ya hali (descriptive) na amri ya Mungu (prescriptive).
Je, unaweza kunionyesha katika Isaya 4:1 ambapo Mungu anaamuru mwanaume aoe wanawake saba? Au aya hiyo inaelezea tu hali ya kijamii baada ya vita vilivyoelezwa katika Isaya 3?"
Isaya 3:25-26wapiwamesema wanaume weng watakufa vitani nipe mstari
Umejiandaa vp kukabiliana na hilo?Katika nyakati hizi kama unafatilia mambo kwa karibu, unaweza kuona wanawake wengi saivi wanajimudu ki uchumi na wanashusha mijengo tu
Una ona Sasa tulivyo na thamaniKitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version]
*Isaya 4:1
Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; tuitwe tu kwa jina lako tu; utuondolee aibu yetu.
Twende kazi
wapiwamesema wanaume weng watakufa vitani nipe mstari
Kisha Isaya 4:1 inaanza kwa kusema:"Wanaume wako wataanguka kwa upanga, na mashujaa wako vitani." (Isaya 3:25)
"Siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja..."
Matumaini yangu sitakua hai, ila nina jitahidi kumuelekeza mwanangu wa kiume namna ya kushinda hiyo hali.Umejiandaa vp kukabiliana na hilo?
Kweli mkuu, ni fedheha kubwa mtoto wa kiume kutolewa kwenye nyumba aliyojenga mwanamke. Watoto ni muhimu waanze kulijua hili mapema. Dunia si rafiki especially kwa mwanaume ambaye hana sauti ndani ya nyumba.Matumaini yangu sitakua hai, ila nina jitahidi kumuelekeza mwanangu wa kiume namna ya kushinda hiyo hali.
Wanawake watakuua
Kwamba walikua na upwiru..Kitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version]
*Isaya 4:1
Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; tuitwe tu kwa jina lako tu; utuondolee aibu yetu.
Twende kazi