Nini maana ya mtoto kupata A au B katika kuhitimu Darasa la 7???

Nini maana ya mtoto kupata A au B katika kuhitimu Darasa la 7???

McDeedanny

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Wakuu natumaini mpo wazima na kuendelea kufanya vzr ktk shughuli za kujinge Taifa letuu, naam nilikuwa na tatizo nililoshindwa kuelewa kbs japokuwa nimejaribu kufanya utafiti sehemu mbl mbl but bado cjapata jibu la kunirizisha kbs, kutokana ma matokeo ya darasa la 7 kutoka na watotot wamekuwa na matokeo mazuri tuu, ila chakunishangaza mm nikwamba tumezoea kuona watotot wa darasa 7 wakipata grade A au B wanapangiwa shule nzuri nikimaanisha shule zenye historia nzuri za uhauluu ila vp miaka ya sasa mbn so kama ada. Mm nimeshindwa kuelewa kwann watoto wanapata grade A au B then watupiwa shule ambzo hazina walimu wala uhaulu wao ni mbuvu sana hilo ndilo swali lang??? je watotot hawa ambo walipata msingi mzuri ktk shule zao za primary utaendelea kuwa mzuri ama ndo hvy wale wale wa 4m4 vp hili wazee nyny mnaonaje jmn???? Asante

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom