Nini maana ya Mwana Apollo?

Nini maana ya Mwana Apollo?

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
258
Reaction score
236
Kama kichwa kilivyojieleza juu, nini maana ya neno mwanaapolo.limetoka wapi,nn chanzo chake ????
Nawasilisha.
 
Ni Yale machali yanayokaaga Kulee mererani yamepinda kinyama yaani hayanaga huruma ni wala shada, na waendesha mapiki piki makubwa XLR 250
 
apollo ni chombo cha kuendea mwezini,wachimbaji wa tanzanite wanajiita wanaapolo kutokana na mfanano wa mazingira ya mwezini na huko underground ambako hamna mwanga na ni masafa marefu
 
Hao wote ni watoto wa Baba mmoja na Baba yao anaitwa Apollo, hivyo inakuna wanaapollo ukiwaita
 
apolo nu nje ya dunia aisee arifu maandaground uko yani ukiwa uko mambo ni yenteee
 
Back
Top Bottom