Nini maana ya Mwendazake?

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Habari wana Jukwaa,

Wiki hi kuna neno limekuwa likitumika sana na chombo Kimoja Cha Habari (Swahili Times), "Mwendazake" sielwagi wanamaanisha Nini Mwanajukwaa yoyote naomba anisaidie.

... yaani hilo hadi uulize? Hata kama ni mara ya kwanza kukutana nalo, kwa muktadha liliotumika have you completely failed to deduce its meaning? Sio kila kitu cha kuuliza sometimes.
 
Hili neno ambalo halina utu wala staha kwa muungwana kulitumia kumaanisha mtu aliyefariki. Mwendazake hutamkwa na mropokaji ama asiye na mapenzi ya dhati kwa mkatika roho. Uashiria chuki na kinyongo ama kutojali kwa mtamkaji wa neno hilo.
 
Habari wana Jukwaa,

Wiki hi kuna neno limekuwa likitumika sana na chombo Kimoja Cha Habari (Swahili Times), "Mwendazake" sielwagi wanamaanisha Nini Mwanajukwaa yoyote naomba anisaidie.

Mwendazake ni jambazi fulani aliyeitwa na Mungu kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya raia aliokuwa akiwaongoza.
 
Mwendazake ni jambazi fulani aliyeitwa na Mungu kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya raia aliokuwa akiwaongoza.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwendazake ni neno la kiswahili ambaro maana yek ni mtu alie tutoka kweny uso wa dunia ila linatumika sna kwenye mtu ambae kwa namna moja au nyingine alikuwa sorce ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…