toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
Inasikitisha saaana kila kukikucha anatokea mtu na kujiita mimi ni nabii flani.
Je hao wanafahamu maana halisi ya nabii?Au wanakurupuka tu?
Wengine wanahubiri na kuihalalisha pombe kanisani huku akijiita nabii.
Hivi hawa wanalijua tafsiri halisi ya maana la neno la Nabii au wana Copy na ku Paste?
Hili jambo linasikitisha saana kujidhalilisha na kuidhalilisha nafsi yako mbele ya kadamnasi kwa ajili ya maslahi yako.