Nini maana ya Nabii?

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
1,584
Reaction score
2,111
Inasikitisha saaana kila kukikucha anatokea mtu na kujiita mimi ni nabii flani.

Je hao wanafahamu maana halisi ya nabii?Au wanakurupuka tu?

Wengine wanahubiri na kuihalalisha pombe kanisani huku akijiita nabii.

Hivi hawa wanalijua tafsiri halisi ya maana la neno la Nabii au wana Copy na ku Paste?

Hili jambo linasikitisha saana kujidhalilisha na kuidhalilisha nafsi yako mbele ya kadamnasi kwa ajili ya maslahi yako.
 
Ngoja tusubiri wazee wa mistari waje kutueleza kiundani maana kuna kila aina ya vyeo/vitambulisho
 
Nabii ni mtu anayeshauriwa kutubu dhambi lakini anakataa na kujenga chuki kwa wanaomshauri akatubu kwa sababu anajiona yenye ni malaika kumbe ni mkosefu tu kama wakosefu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…