Nini maana ya neno "avatar"?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Jaman bila shaka ni wazima humu kiafya na siku nzuri.naombeni mnieleweshe nini maana ya hili neno "avatar"?
 
Karibu sana JF...

Avatar ni hilo nyago linalowakilisha ID ya memba wa Jeiefu kwa mtindo wa picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…