Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Kwa wale walisoma Economics sentence hii ina maana gani? "While our crystall balls are cloudy"
Asante
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake ni kitendo cha mtu kudai public kwa maneno kwamba anafungulia uchumi, wakati ukweli halisi ni kwamba anafungia uchumi mahabusu, jela & magereza.
Viashiria vya ama ukuaji au kudhoofika kiuchumi.Kwa wale walisoma Economics sentence hii ina maana gani? "While our crystall balls are cloudy"
Asante
Viashiria vya ama ukuaji au kudhoofika kiuchumi.