Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,497 Reaction score 3,823 Jan 3, 2014 #1 Nilipokuwa Nikimsolvia Dogo past Paper Ya HSTORY Form Iv,nimekutana msamiati 'VODOO' Kwenye Matchng Items, Naomba Msaada Kwa anayeelewa ni kitu gani hko.
Nilipokuwa Nikimsolvia Dogo past Paper Ya HSTORY Form Iv,nimekutana msamiati 'VODOO' Kwenye Matchng Items, Naomba Msaada Kwa anayeelewa ni kitu gani hko.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jan 3, 2014 #2 Dini ya Uchawi wa Afrika Magharibi ambao kwa sasa umehamia zaidi Latin America na Caribbean Voodoo - Wikipedia, the free encyclopedia
Dini ya Uchawi wa Afrika Magharibi ambao kwa sasa umehamia zaidi Latin America na Caribbean Voodoo - Wikipedia, the free encyclopedia
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,497 Reaction score 3,823 Jan 3, 2014 Thread starter #3 Thnx Bujibuji, Ngoja niangalie kama ina match.
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 642 Jan 3, 2014 #4 Ni kama ile aliyofanya Chenge kule mjengoni...aliingia na vumbi fulani hivi akanyunyizia kwenye viti...
Ni kama ile aliyofanya Chenge kule mjengoni...aliingia na vumbi fulani hivi akanyunyizia kwenye viti...
Nzunga Senior Member Joined Oct 24, 2011 Posts 170 Reaction score 58 Jan 5, 2014 #5 Naipenda jf than ever....
I isotope JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 2,392 Reaction score 817 Jan 6, 2014 #6 Nzunga said: Naipenda jf than ever.... Click to expand... Huyo 'ever' naye anajua kuwa unaipenda jf kuliko yeye?
Nzunga said: Naipenda jf than ever.... Click to expand... Huyo 'ever' naye anajua kuwa unaipenda jf kuliko yeye?