Nini maana ya neno hodi hodi?

Afrocentric view

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,374
Reaction score
2,280
Kwa Kiingereza hodi unasemaje??

Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu, lakini Kuna ccv camera humu ndani ukitongoza mwana jf utaonekana, kuwa makini mgeni
 
Kwahiyo sasa ukitaka kuingia nyumba yoyote wewe utaingia tu maana neno hodi Wazungu hawalitumii?
😝😝😝😝😝😝
 
Kwa kiingereza hodi unasemaje??
Anyways hodi humu jamvini.
Mimi new member naitwa Afrocentric kwasababu sijawa brainwashed Na propaganda Za wazungu, wachina, wahindi,waarabu nk.
Hebu andika jina lako kwa kiswahili ili kuonyesha kuwa hujawa brainwashed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…