Nini maana ya neno kudadadeki

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Maneno ya kiswahi mengi yametoholewa mengine yamerekebishwa na kubuniwa na mengi yameongezwa na kutumika visivyo nao
mba msaada wa neno kudadeki kwa wale wanaojua maana.
 
ni kivumishi sifa ,mara nyingi hutumiwa na watu wa pwani,si lugha rasmi
 
Kutamka neno hilo hakika ni kutukana dhahiri.Ni tusi ambalo limepiga sarakasi,miguu juu,mikono ndiyo inatembelewa.
 
Enzi za ujana wangu neno hilo lilikuwa linatumika kama tusi, mi naliogopa na silitumii
 
Ni tusi, ila kwasasa linavyotumika nikama kutilia mkazo kitu fulani kama yanavyotumika matusi mengine kwa vijana wakihuni
 
kweli hili ni tusi mimi sipindi kabisa tangazo la tigo wanalomtumia joti anatamka hovyo kabisa tena saa mbili kila mtu kakodoa macho kwenye taarifa ya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…