Nini maana ya neno "kuhusisha?"

Nini maana ya neno "kuhusisha?"

MKUU KUHUISHA: NI KITENDO CHA KUREKEBISHA TAARIFA ZA AWALI. SYNOMY KUBADILI, KUFUFUA, KURUDISHA KWENYE UPYA.
 
😂😂 Kazi kweli kweli

Ni kufanya update
 
Huyu asipewe ajira amesomea ujinga.

Kwanza anamaanisha kuhuisha yeye kaandika kuhusisha!! Update kiswahili chake ni nini?
 
Kwa wale ambao wanafanya maombi ya ajira nadhani litakuwa si neno geni kwenu.

Kuna tangazo limetolewa leo la ajira za uwalimu na afya TAMISEMI, sasa kuna sehemu wameasema wale ambao walishaomba ajira kupitia mfumo wao wanatakiwa kuhuisha taarifa zao, nini maana ya kuhuisha? Ni kuomba upya? Ni kufanya marekebisho ya maombi yaliopita au?

Tusaidiane apo.
Ndugu kichwa cha habari 'kuhusisha' ni tofauti na unachouliza 'kuhuisha'
 
Kwa wale ambao wanafanya maombi ya ajira nadhani litakuwa si neno geni kwenu.

Kuna tangazo limetolewa leo la ajira za uwalimu na afya TAMISEMI, sasa kuna sehemu wameasema wale ambao walishaomba ajira kupitia mfumo wao wanatakiwa kuhuisha taarifa zao, nini maana ya kuhuisha? Ni kuomba upya? Ni kufanya marekebisho ya maombi yaliopita au?

Tusaidiane apo.
ningekuwa TAMISEMI mbona ningekufuatilia kuhakikisha hutoboi kijana... yaani huyu hata ajira asipewe ndugu zangu kwanza heading na maudhui ni maswali mawili tofauti na hata yangefanana bado ni neno tepetepe sana alikuwa ana uwezo hata wa kuangalia kamusi sekunde tu
 
Back
Top Bottom