Nini maana ya neno "kuhusisha?"

MKUU KUHUISHA: NI KITENDO CHA KUREKEBISHA TAARIFA ZA AWALI. SYNOMY KUBADILI, KUFUFUA, KURUDISHA KWENYE UPYA.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kazi kweli kweli

Ni kufanya update
 
Huyu asipewe ajira amesomea ujinga.

Kwanza anamaanisha kuhuisha yeye kaandika kuhusisha!! Update kiswahili chake ni nini?
 
Ndugu kichwa cha habari 'kuhusisha' ni tofauti na unachouliza 'kuhuisha'
 
ningekuwa TAMISEMI mbona ningekufuatilia kuhakikisha hutoboi kijana... yaani huyu hata ajira asipewe ndugu zangu kwanza heading na maudhui ni maswali mawili tofauti na hata yangefanana bado ni neno tepetepe sana alikuwa ana uwezo hata wa kuangalia kamusi sekunde tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…