Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Unaogopa wasiojulikana?Wewe naona unaitafutia Nisan mtaa wa kushindia [emoji13] [emoji12] .Hilo neno kwa kiswahili cha kibongo unatutafutia sheria ya mtandao ifanye kazi
Mijitu yenyewe hii isiyojulikana ina mavitambi ndio maana hata haiwezi kulenga risasi vizuriWewe naona unaitafutia Nisan mtaa wa kushindia [emoji13] [emoji12] .Hilo neno kwa kiswahili cha kibongo unatutafutia sheria ya mtandao ifanye kazi
Tofauti na malaika wengine huyu atapaa kupitia Chato Airport mkuu saa na muda bado ni siri!!Mungu ampaishe mapema tu