Nini maana ya neno "Uhafidhina"?

Nini maana ya neno "Uhafidhina"?

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Wataalamu wa lugha, siasa naomba mnipe maana ya hili neno Uhafidhina maana nimekuwa nikilisikia sana
 
Conservatism, kama umeelewa tupe mifano miwili tu ya conservatives hapa nchini
 
Mkuu kama sijakuelewa

Hapo ni kwamba tumekupa somo, wewe kama mwanafunzi wetu sasa tupe mifano kuonesha somo limeeleweka in other words tumekufundisha tukakupa quiz kukupima kama umeelewa

Nadhani sasa umenielewa bushlawyer
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni kwamba tumekupa somo, wewe kama mwanafunzi wetu sasa tupe mifano kuonesha somo limeeleweka in other words tumekufundisha tukakupa quiz kukupima kama umeelewa

Nadhani sasa umenielewa bushlawyer

Mkuu #Marxlups mfano wa kwanza hutolewa na mwalimu ili mwanafunzi aelewe somo, au ndio walimu wa siku hizi mlivyo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom