mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Habari za kushehereke Uhuru wetu Watanzania, na wale wasiokuwa watanzania habarini za kazi.
Kuna neno limezuka hapa katikati na limekuwa maarufu sanaa hasa ktk nyanja za soka lkn mm binafsi sijajua maana yake,.
Naomba kuuliza nn maana ya neno" UTOPOLO?; maaana timu kongwe ya mpira wa miguu hapa tanzania yenye majina meeengi ya utani kwa sasa umebandikwa jina lingine na utopolo, nilijalibu kuwauliza watu kama 4 hakuna alienipa jibu la kueleweka.
Nimekuja kwetu wadau mnisaidie.
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app