Nini maana ya Pepo!

Nini maana ya Pepo!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
PEPO maana yake ni nini, hasa tunaposema "Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi". Wataalamu wa lugha tafadhali!!!
 
PEPO= MALAIKA WA SHETANI.
PEPO= UPEPO ie PEPO ZA KUSI NA KASKAZI
PEPO=SEHEMU WAKAAYO WAFU
 
PEPO maana yake ni nini, hasa tunaposema "Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi". Wataalamu wa lugha tafadhali!!!
Mahali patukufu ambapo inasadikiwa walioishi kwa kuzingatia makatazo yake Mwenyezi Mungu wataishi baada ya kufariki duniani.
 
Back
Top Bottom