Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Feb 26, 2010 #1 PEPO maana yake ni nini, hasa tunaposema "Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi". Wataalamu wa lugha tafadhali!!!
PEPO maana yake ni nini, hasa tunaposema "Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi". Wataalamu wa lugha tafadhali!!!
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Feb 26, 2010 #2 PEPO= MALAIKA WA SHETANI. PEPO= UPEPO ie PEPO ZA KUSI NA KASKAZI PEPO=SEHEMU WAKAAYO WAFU
F FM JF-Expert Member Joined Jul 2, 2009 Posts 202 Reaction score 5 Mar 3, 2010 #3 Katavi said: PEPO maana yake ni nini, hasa tunaposema "Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi". Wataalamu wa lugha tafadhali!!! Click to expand... Mahali patukufu ambapo inasadikiwa walioishi kwa kuzingatia makatazo yake Mwenyezi Mungu wataishi baada ya kufariki duniani.
Katavi said: PEPO maana yake ni nini, hasa tunaposema "Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi". Wataalamu wa lugha tafadhali!!! Click to expand... Mahali patukufu ambapo inasadikiwa walioishi kwa kuzingatia makatazo yake Mwenyezi Mungu wataishi baada ya kufariki duniani.