nini maana ya sanaa?

nini maana ya sanaa?

kajuka

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
601
Reaction score
229
msaada jamani, naweza kupata wapi au mtu anayeweza kutoa maana sahihi ya sanaa.
 
Sanaa ni mpangilio maalumu wa lugha unaotoa taswira ya picha kwa mtazamaji/ msikilizaji
 
Shukrani sana kwa kuniongezea maarifa.
 
Sanaa (arts) are things made or done by humanbeings inorder to give enjoyment..
 
Back
Top Bottom