Ni mgeni kwenye JamiiForums. Nilivutiwa kujiunga kwani nilikuwa nautembelea sana huu mtandao, kwani una mambo mengi mazuri.
Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anajua chochote kuhusu Sex Transmutation, kwani nimesoma kwenye kitabu cha Napoleon Hill cha Think and Grow Rich ila sijaelewa hiyo part ya Sex Transmutation..