Nini maana ya "Signed Gifts" tunazopeana sisi watu mashuhuri?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Sijui nitaelewee... nitaeleweka kweli!

Hivyo hivyo tu.

Ukiacha ile wachezaji wa mpira kubadilisha jezi, kuna mmoja hapa bongo alilia kiatu. Nimemsahau kidogo, basi acha hiyo.

Kuna hizi zawadi mtu anapewa mfano kiatu, mtoaji anaweka saini yake. Wengine huenda mbali zaidi, hubeba vitu vyao mfano nguo na kuomba mtu fulani mashuhuri awasainie!

Ni nini hiki? Japo Bongo sijawahi kuona.

Hiyo signature inakuwa na 'thamani' gani, na vipi ukifua haifutiki?

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…